Kwa mara ya kwanza miili iliyopatikana kutoka kwenye
ndege ya Malaysia iliyotunguliwa juma lililopita nchini Ukraine itasafirishwa
hadi nchini Uholanzi ili ndugu na jamaa wazitambue maiti za ndugu zao
walio kuwepo katika ndege hiyo.
Mabaki ya ndege ya Malasia. |
Nchi ya Uholanzi ipo kwenye maombolezo kwa ajili ya watu 298
waliokufa kwenye ajali hiyo,watu 193 kati ya watu hao wanasadikika kuwa ni raia
wa Uholanzi.
Maafisa wa Marekani wamesema kuwa waasi wanaoiunga mkono
Urusi waliitungua ndege hiyo kimakosa,ingawa hakuna ushahidi tosha kwamba Urusi
inahusika na ajali hiyo.
Watafiti wakifanya uchunguzi. |
No comments:
Post a Comment